Tetesi: Dkt. Kalemani kupewa mifugo huku Ndaki akipigwa chini

hakuna kitu kama hiko, acheni kujidanganya sukuma gang
 
Kwa nini Ndaki afutwe kazi?Mbona yupo vizuri hana shida

Mbona ni kama unafurahia Ndaki kutolewa uwaziri?
 
So what??
 
Kama hii taarifa ni kweli, basi Samia hapaswi na hafai KABISA kuwa kiongozi mkuu wa hii nchi.

Kuna siri za serikali zinazoimarisha usalama wa nchi na wananchi.
 
Kama hii taarifa ni kweli, basi Samia hapaswi na hafai KABISA kuwa kiongozi mkuu wa hii nchi.

Kuna siri za serikali zinazoimarisha usalama wa nchi na wananchi.
Ni hatari,ngoja tusubiri tuone

muda utatoa majibu ya haya yalioandikwa leo
 
Kama hii taarifa ni kweli, basi Samia hapaswi na hafai KABISA kuwa kiongozi mkuu wa hii nchi.

Kuna siri za serikali zinazoimarisha usalama wa nchi na wananchi.
Aisee hata Mimi nitamdharau Kama atamrudisha kwenye wizara huyo mtu,

Itaonekana dhahiri Ni muoga ,anawaogopa Hawa kikundi Cha marehemu kinachomtukana mitandaoni,
Na hata akifanya hivyo Hawa matahira hawatoacha kumtukana
 
Mh. Rais amwangalie yule waziri wa Tozo hana ubunifu ameshatuchosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…