"Dkt" Hildebrand Shayo aula bodi ya THA

wewe acha kukurupuka hiyo ni bodi mpya tpa sio tha
nimependa uteuzi wa jina namba 2&8
 
haya mambo ya kusema fulani kaula ndio yanasababisha watu kuwa mafisadi nchii hii
maana huyo mteuliwa atakuwa akijitahidi kuishi maisha ya kuwaridhisha watu ili naye aonekane kweli anazo
kama unamfahamu mteuliwa yeyote usiishie kumsifia bali mkumbushe majukumu yake ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…