Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Watoto wake watatu wenyewe hawajaenda Rais aende kufanya nini? Huyo dr wa mchongo angeanza kuhoji hilo kama ana mamlaka ya kuhoji at all.
 
Mwenyewe Maria ajaenda kwenye uo msiba wa baba yake sembuse Samia mwenye majukumu pomoni!!.
Huyu ameshawahi kusadiri kwenye misiba ya watu nje ya nchi mara kadhaa. Alikuwa hana majukumu wakati huo? Kwani lazima aende kwenye msiba, hata pole tu inatosha
 
Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka rais Samia ahusike na msiba wao?

Juzi Stephen Wassira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, kajipendekeza kwenda msibani. Mjane wa Prof. Sarungi kampa maneno yake kumwambia mlikuwa wapi wakati wote huo Profesa anaumwa hamjaonekana mmekuja kuonekana kwenye msiba?

Mpaka Wassira kakimbia.

Sasa wewe usiyeijua familia ya Sarungi, usiyejua ma beef ya serikali na familia ya Sarungi, usiyejua kama familia ya Sarungi inataka Samia ajihusishe na msiba au haitaki, unajichomekaje kusema Samia afanye hivi na vile?

Una hakika familia ya Sarungi inataka Samia ahusike na huu msiba?
 
Marehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.
Kutokufika kumzika baba yake ilikuwa ni adhabu tosha kwa Maria, Rais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
Kwa hiyo hii inathibitisha kwamba huyo Binti (Maria) angejitokeza kwenye msiba ndiyo asinge onekana tena?
Wengine tulidhani ni utani tu wa kawaida!
 
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
huyo Dr ameleta personal attack kwa kumtaja Maria yule mwehu, hata hivyo wawakilishi walikuwepo
 
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Kaka unajua unabishana na kitoto cha 2000, hakijui Mzee Sarungi ni nani na historia yake kwa Chama na serikali.
 
Usalama ni mdogo sana, huwezi sikia watu wakilizungumzia hili
 
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Si aliwakilishwa na Waziri Kikwete? Au wewe ulitaka awepo in personal? Pia kumbuka huyo mtoto wa marehemu amekuwa akimtukana sana Rais mitandaoni sasa wangekutana kwenye msiba ingekuwaje? Rais ametumia busara sana tu kwa kumtuma Waziri Kikwete kumuwakilisha. Pia kumbuka wanandugu wa Utegi hawajakubali ndugu yao kuzikwa Dar na wamesema lazima akazikwe Utegi, Mara. Sasa hapo kweli Rais aende wakati ndugu wanagombania pa kuzikwa marehemu!!?
 
Atleast umeongea kwa busara, Maria sasa ajifunze kufunika bakuli lake lasivyo hao wazungu wanaompa shield hawawezi kumsaidia kwenye shida za kifamilia
Kwa hiyo Rais akienda Baba Yake atafufuka. Mi sioni chochote aende asiende hakuna impact yoyote.

Wanaomlaum Rais hawana hoja. Hata angeenda hakuna anachoongeza
 
Lakini sidhani kama ni lazima Rais kuudhulia msiba wa kila binadamu aliewahi kuwa mwanasiasa na mtendaji wa serikali au ambae ni mwanasiasa au kiongozi kwa sasa.


Inategemeana tu ratiba zake na vipaombele vyake kwa wakati huo.

Na hii ni kwa binadamu yeyotee
 
mtu wa Mungu ameumaliza mwendo wake salama katika dunia hii, kazikwa na maisha wengine walio hai yanapaswa kuendelea kwa neema na baraka za Mungu,

hakuna haja ya kumbwelambwela kutafuta kiki au huruma ya jamii kwa wasiohusika na umauti wa mwendazake.

hakuna ufahari, picha wala video mbaya anapofariki mwanadamu
 
Kwa hiyo Rais akienda Baba Yake atafufuka. Mi sioni chochote aende asiende hakuna impact yoyote.

Wanaomlaum Rais hawana hoja. Hata angeenda hakuna anachoongeza
Maria anapenda kujipa na kupewa umuhimu, huku amejaa madharau, majivuno, lugha chafu hovyo kabisa
 
Sasa kwanini unafikiri watu wanataka kumpa rais madaraka makubwa zaidi kwa kuhudhuria misiba? Halazimishwi ila ni mategemeo ya watu atoe salamu au kuhudhuria msiba wa mstaafu kama huyu.
kama unajua hayo ma beef sawa ila mategemeo ya watu hayakwepeki
 
Ni ustaarabu pia kutolazimisha Rais atoe pole hadharani. Unajuaje kama alitoa pole kimyakimya? Sarungi kuhudumu haikuwa bure alilipwa stahiki zake. Kuacha alama pia ni muhimu kama kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…