Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,764
- 21,186
Anajifanya ana uchungu na Samia kuliko mumewe Ameir!Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.
Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.
Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔
Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.
Kuzikwa ni kuzikwa tuu!Prof. Sarungi alipaswa kuzikwa Utegi Rorya.
Prof. ni icon ya ukoo
Alipaswa kuzikwa nyumbani kwenye makaburi ya familia
Bado jamaa zake kina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah! Kumbukumbu za vizazi vyao,vina urithi wa ujinga wa Hawa watu Ni Aibu hata kama wanalipwa ni malipo ya fedheha!Wewe ni mpumbavu kila mtu anakufahamu.
Siku CHADEMA mkishika dola badilisheni katiba kuwe na kifungu kinachomlazimisha Rais kuhudhuria misiba. Vinginevyo ulichoandika ni upumbavu mtupu.Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.
Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.
Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔
Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.
Wewe ni mtoto wangu wa damu. Muulize mama yako kuhusu baba yako wa kweliKwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
SHIDA KUBWA. Na kama Rais ameshindwa hata ku acknowledge kifo cha waziri wa Afya na alielitumikiq taifa….. ni aibu sanaLini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?
Kabisa mzee,anatumia mentality ya ukiua paka wangu naua mbwa wako. Mbwa ana kosa gani sasa?🤔Kwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
toa utoto wakopeleka kwawajinga wenzako ccmWewe ni mtoto wangu wa damu. Muulize mama yako kuhusu baba yako wa kweli
Ratios HUJIELEWISiku CHADEMA mkishika dola badilisheni katiba kuwe na kifungu kinachomlazimisha Rais kuhudhuria misiba. Vinginevyo ulichoandika ni upumbavu mtupu.
Inabidi kwenye katiba kuongezwe kifungu kinachomtaka Rais kuhudhuria misiba yote. Acheni upumbavu. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio hiyo mihemko yenu.As a comfort - in - chief!!!??
Hata kwenye kupokea miili ya askari wetu waliofia kwenye mapambano huko DRC hatukumuona.
Kutoa pole kamtuma CDF.
Unaona sawa kabisa namna hii!!???
Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.Hakuna sheria iliyovunjwa Rais kutohudhuria huo msiba.
Kumbe na maprofesa nao wanakuwa hawana akili?!! Nimechelewa sana kujua hili. Hilo la Samia kutotaka kwenda huko aliambiwa yeye inbox?!!! Zee zima limekalia unyumbu wa kijinga hivi, yaani anapelekwa na mawazo ya kina lema?!!! Pumbaaavu! Ndo maana anazeeka kwa kukauka, kule kwetu tunaita 'kukochopala' sababu ya kukalia majungu na uzushi.Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Acha kunililia hapa. Mimi sio babakoAcha kukurupuka unafikiria umesoma post aliekufa ni maria au mzee sarungi..acha uzwazwa
Amekiuka maadili kupitia kifungu gani kwenye katiba ya chama au ya nchi? Acheni harakati uchwara hadi kwenye misiba.Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.
Wewe unamfahamu mzee Sarungi wewe?🤔
Mijinga sana hii minyumbu!! Kila wakati inawaza ujinga ujinga tuuuu, hebu itoke hapa ikakamuliwe tone tone huko, inatupigia kelele!!Inabidi kwenye katiba kuongezwe kifungu kinachomtaka Rais kuhudhuria misiba yote. Acheni upumbavu. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio hiyo mihemko yenu.
Mabege hawataisha nchi hii, huyu hajielewi mpaka anajiita Samia,mwanaume nusu huyu!Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.
Wewe unamfahamu mzee Sarungi wewe?🤔
Hii ishu ya Wanajeshi ilinishangaza sanaAs a comfort - in - chief!!!??
Hata kwenye kupokea miili ya askari wetu waliofia kwenye mapambano huko DRC hatukumuona.
Kutoa pole kamtuma CDF.
Unaona sawa kabisa namna hii!!???
Kuzaliwa kwao ni matumiza mabaya ya manii, bora baba zao wangepiga nyeto tu.Bado jamaa zake kina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah! Kumbukumbu za vizazi vyao,vina urithi wa ujinga wa Hawa watu Ni Aibu hata kama wanalipwa ni malipo ya fedheha!