Lini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Acha kujifanya huelewi.Lini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?
Nitolee upuuzi hapaNi lini Maria amemtukana Rais? Usiishi kwa kukariri.
Kunywa sumu upunguze hasiraSamia ni mswahili wa kutupa, mwenye vinyongo na visasi na ana roho ya kichawi
Kuna sheria iliyovunjwa kwa Rais kutokwenda msibani?Kwa Tz, msiba ni jambo la kifamilia, kijamii na kisiasa. Usisahau hilo.
Hivi usemi 'uongozi jalala' humaanisha nini?
CCM imebeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe.Na wewe ni hovyo! Ma ccm yana visasi kama Lucifer!
Wewe ni mpumbavu kila mtu anakufahamu.Nitolee upuuzi hapa
Ndiyo. Mimi ni mtu mwenye akili nyingi sana.Una akili
Nadhani pia anajua kuwa kushirikinkwake kwenye msiba wa dr Sarungu kungekubalitu tu kwa shingon upande sababu ya uovu anaotuhumiwa kumfanyia binti wa marehemu. Nadhani ni afadhali hakuja hata kama haileti picha nzuri.Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Lini Profesa Sarungi aliwahi kumkemea mwanawe hadharani kwa tabia zake mbovu kama mwanaharamu; wakati mzee alifanya kazi vizuri na kustaafu serikalini?Lini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?
Kuna wazee umri unavoongezeka ajili huongezeka wengine anavyozeeka akili hupungua mmojawapo ambaye ajili zinapungua kadri anavyozeeka ni Dr LwaitamaMada nyingine ni kujaza saver ya jamii forum bila sababu.
Kwani nani kampa hiyo Adhabu Maria asiende kumzika Baba yake? Si yeye mwenyewe kajipa adhabuMarehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.
Kutokufika kumzika baba yake ilikuwa ni adhabu tosha kwa Maria, Rais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
Kama Maria alivyoacha kuja kumzika Baba yake kwa kuhofia kukamatwa ndivyo hivyo hivyo Rais kaacha kwenda kwa kuhofia kuvunjiwa heshima sasa shida iko wapi?Mkuu, yaani Msiba wa Prof. Sarungi Mwakilishi wa Rais ni Riz1, Naibu Waziri...? Kwa nini asimtume PM au DP wake kuupa uzito Uwakilishi wake...? Ni bora angekausha tu kwa vile wote tunajua bifu lake na Maria. Yaani Maria angechukulia poa akaja, sasa hivi angekuwa Segerea.
Umenenaa.Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Acha kukurupuka unafikiria umesoma post aliekufa ni maria au mzee sarungi..acha uzwazwaLwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.