Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani
Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mkesha wa “Ibada Halisi” uliofanyika Septemba 20, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Igulwa, Bukombe.
“Uzima tulionao leo ni wimbo mpya kinywani mwetu, afya tulionayo ni wimbo mpya kinywani, hapa Bukombe vile tulivyo ni wimbo mpya kinywani mwetu”.
Ibada hiyo imehudhuriwa na wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Ambwene Mwasongwe na Rehema Simfukwe.

Basi na Urais mngempa mwarabu ili nchi iwe na rais mwarabu, waziri mkuu mrundi, kaa sababu nvhi haina wenye akili, na hivyo kulazimika kuwatafuta wageni waje wawatawale. Hizo akili unazipata CCM tu, kwa wenye akili za kiwango cha mwashambwa.