Elections 2010 Dk. Slaa aunguruma Mtwara.... Mh. Marando naona 'gwanda' limekubali!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini

sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo

Mmoja wa wanachama waandamizi wa CHADEMA
Bw. Saidi Arfi akisabahi wakazi wa Mtwara


Mh. Chiku Abwao akisalimia wakazi wa Mtwara.

Mh. Mabere Marando akiongea wakati wa mkutano huo

Picha zote ni kwa hisani ya mwana libeneke wa
Mtwara Kumekucha
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Kila kona akitua watu kibao.
Safari hii tunategemea Tanzania mpya na si Wadanganyika.
 
Good! Nami nikombioni kulifuata gwanda makao makuu ya Chadema. Aluta continua...!
 
Natumai hata Mtwara waliwanyima uwanja wao kufanyia kampeni.
 
Katika mfululizo wa mizunguko hii nimebahatika kuwasikiliza wanasiasa hawa wa CHADEMA.
Naomba nikubali kwamba wana uwezo wa kupanga hoja. Hawa siyo wachekeshaji kama katibu wa chama tawala au hata mwenyekiti wake.

Wanatoa hotuba za kisiasa zinazoweza kuwasisimua watu wa ufahamu tofauti, siyo ngonjera.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…