Dk Slaa afunguka

mtu aliyesoma utamjua tu logical thinking yake ni kubwa na anaongea kwa point tu
 
…mimi nimeishi na kufanya kazi Ulaya, najua aina ya mke wa hadhi yangu.Ahahahahah..samahani dokta hivi mke bora anatoka kwa nani vile?
 

Ili muweze kukubalika kwa wananchi mtajitofautishaje na hao waliotangulia kuanzisha mfumo huo? Msipokuja na jinsi amavyo mtaonekana tofauti na wenzenu hamtaambulia chochote.
 
Haya sasa!!!presha inapa presha inashuka......Dk. tupeleke uwanja wa mapambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…