Dk. Slaa aajiriwa supermarket

..anaposema anafanya kazi kwa mikono yake si kujisifia??..kuna mtu asiyefanya kazi kwa mikono yake?....we hilo hulioni kwa kuwa na mahaba ya kijinga kwake..ama upeo wako wa kusoma between the lines ni mdogo....
Naona umeamua kuingia kwenye matusi. Matusi hayana bei bali gharama, siendi huko. Amini uaminivyo.
 
Ata kama kareft lakini mchango wake katika chama sio wa kubeza ila kamaliza vibaya
 
Waafrika wengi tu na hata waasia wanapofika ulaya na Amerika hufanya kazi za ajabu sana ! .Nyumbani wanaweza kuwa ni watu muhimu kwenye jamii yao na wana heshima kybwa tu kama wachungsji na wengine.Nyumbani wanajua wako masomoni kumbe pia hujishughulisha na kazi za kushangaza zisisizolingana na hadhi zao wawapo nyumbani
 
Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
No one knows for sure if he is indeed a political fugitive or not along with his mysterious disappearance from the country leaving many wondering even today about exact reasons / intrigues which drove this man to flee the nation
 
Bora kufanya kazi supermarket kuliko siasa za Tanzania!
 
Bora kufanya kazi supermarket kuliko siasa za Tanzania!
Tusidanganyane hapa, yaani kwa mtu kama yeye aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bodi hospitali ya CCBRT, katibu mkuu wa CHADEMA taifa, mbunge usieme ni bora afanye kazi supermarket. Hapa tukubaliane kuwa kuna kitu hakiko sawa. Tujifunze ili yasijekutokea kwetu.
 
We unafikiri hajawaza yote hayo. Lazima kuna sababu. Tz kuna mambo ya kupuuzi sana.
 
Bora kufanya kazi supermarket kuliko siasa za Tanzania!
Tusidanganyane hapa, yaani kwa mtu kama yeye aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bodi hospitali ya CCBRT, katibu mkuu wa CHADEMA taifa, mbunge usieme ni bora afanye kazi supermarket. Hapa tukubaliane kuwa kuna kitu hakiko sawa. Tujifunze ili yasijekutokea kwetu.
 
Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
Tatizo la kusoma heading tu, amesema alikuwa anapata scholarship, sasa masomo amemaliza kwahiyo hana scholarship na anafanya kazi ili kumudu gharama za maisha. Mke wake ndo anayesoma kwa sasa na anaufadhili wa masomo yake.

Kuwa na tabia ya kusoma contents pia usiishie kwenye heading tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…