Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Mkuu kwa kweli umenena huyu mtu anakubalika na anaweza sana kufanya mabadiliko.Mchango wa Dkt. Magufuli kwa taifa ameudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa ni kiongozi mchapa kazi kwa nafasi aliyoitumikia kama Waziri. Nafasi anayowaomba Watanzania kwa sasa ni ya Urais. Na mara zote ameendelea kusisitiza kuwa YEYE anatosha. Na kweli anatosha. Jitokeze Oktoba 25 mwaka huu umchague Magufuli awe Rais wako wa Awamu ya Tano. Tanzania Hoyeeeeeeeeeee!
Anatosha kwako kwa sababu anashibisha tumbo lako. Vijana mnaajiriwa hapo lumumba na masaki mnapewa vi allowance mnafikiri Mmemaliza kumbukeni kuna maisha baada ya uchaguzi
Anakutosha wewe tu
Magufuli ni mtu wa watu
.
.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga push up mbele ya maelfu ya wakazi wa Karagwe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Changarawe,Kayanga.
Tanzania sio taifa la kifalme! Tutafanya maamuzi kupitia sanduku la kura!
We don't want nobody to vote for ccm but we need everybody to vote for ccmRaisi wa Kuwait ni nani kweli !!bahati nzuri anagombea Tanzania ingekuwa anagombea Usa ndio ungekuwa mwisho wake maana Us kama hujui foreign Policy kama rafiki yangu mr kidevu ,nobody will vote for you...CCM OUT
Ni kweli anatosha, lakini ni kwa nini ID mpya zimeongezeka sana mwaka huu, ni wale wale mmekuja kwa ID nyingine au kweli nyie mmejiunga upya mwaka huu.Mchango wa Dkt. Magufuli kwa taifa ameudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa ni kiongozi mchapa kazi kwa nafasi aliyoitumikia kama Waziri. Nafasi anayowaomba Watanzania kwa sasa ni ya Urais. Na mara zote ameendelea kusisitiza kuwa YEYE anatosha. Na kweli anatosha. Jitokeze Oktoba 25 mwaka huu umchague Magufuli awe Rais wako wa Awamu ya Tano. Tanzania Hoyeeeeeeeeeee!
Mchango wa Dkt. Magufuli kwa taifa ameudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa ni kiongozi mchapa kazi kwa nafasi aliyoitumikia kama Waziri. Nafasi anayowaomba Watanzania kwa sasa ni ya Urais. Na mara zote ameendelea kusisitiza kuwa YEYE anatosha. Na kweli anatosha. Jitokeze Oktoba 25 mwaka huu umchague Magufuli awe Rais wako wa Awamu ya Tano. Tanzania Hoyeeeeeeeeeee!
Ni kweli, Tanzania siyo taifa la kifalme, ndiyo maana uchaguzi unafanyika ili kumpata kiongozi wa kitaifa. Magufuli anatosha, chagua yeye awe Rais wa Awamu ya Tano.
Lowassa anatosheleza
Na wewe anakutosha na familia yako. Kwanza ccm ndo iliyokupa uraia wewe si mhutu. Ukicheza unarudi kwa NkurunzinzaAnakutosha wewe tu
Mabadiliko ya kasi na viwango ni kwa Magufuli
Na wewe anakutosha na familia yako. Kwanza ccm ndo iliyokupa uraia wewe si mhutu. Ukicheza unarudi kwa Nkurunzinza
Ni kweli anatosha, lakini ni kwa nini ID mpya zimeongezeka sana mwaka huu, ni wale wale mmekuja kwa ID nyingine au kweli nyie mmejiunga upya mwaka huu.