unataka kujua nini , na ushahidi usio na shaka umeonyesha majina yote ma 3 ya aliyewanunua na kuwalipa ?
Kitila na wenzake wana Tamaa sana , wanataka kuila keki na wakati huo huo wabaki nayo.......so hawezi kukubali ama kukanusha lolote lile .........unaelewa maana ya 'benefits of the doubt' ?
kwenye siasa muhimu mtu usikie kauli ya mtu mwenyewe
kuliko kusema tu fulani alisema
Kitila na wenzake wana Tamaa sana , wanataka kuila keki na wakati huo huo wabaki nayo.......so hawezi kukubali ama kukanusha lolote lile .........
ACT ni chama kipya na kina mengi sasa yamejitokeza
mengi kiasi ni ngumu hata kujua yapi ya ukweli na yapi si ya kweli
nikikitazama hiki chama naamini kama kuna mtu ambae ana command respect
hata kwa watu independent na ambae akizungumza sauti yake itakuwa na nguvu
basi ni Dk Kitila Mkumbo.....naamini tupo wengi wenye maswali na chama hiki kipya
na future yake na malengo yake....
Binafsi sioni why huyu Kitila asiwe yeye mwenyekiti ili angalau lolote litakalotokea
tuamini sio bahati mbaya bali ni mkakati wa chama hiki
muhimu zaidi Kitila naamini ndie 'mshauri mkuu' wa chama hiki kwa sasa atujibu maswali kama haya
1. je ni lazima ACT wawe na uhasama na CHADEMA?
2. je ACT wanachukua hatua gani kuondoa uhasama na uadui unaojitokeza kati yao na CHADEMA?
3.Nini hasa mipango ya chama chao after 2015?
4. je ACT kinaweza kuwa chama cha kisiasa bila Zitto?
5. na kama ni hivyo je hawaoni athari za kujenga chama kwa kutegemea personality ya mtu mmoja au watu wachache?
6. mustakabali wa Taifa wao wanauchukuliaje? na maswali mengineyo.....

Wanajiita ACT - Tanzania, je kuna ACT nchi nyingine mfano ACT - Ghana au ACT - Zimbabwe? Mimi naona kama vile hawajajipanga ni kama wameanzisha kwa hasira dhidi ya CDM. Hata vision na mission zao hazijulikani isipokuwa wanategemea personalities kama za ZZK na Dr. Kitila. Watavuma na kupotea kama TLP
Na wewe hapa unaropoka. Badala ya kujibu maswali au hoja unajifanya mwanafilosofia. Fallacy!Iliuishi maisha marefu ni lazima
Uwena akili ya kufikiri
Uwe na akili ya kuwaza
Uwe na akili kusikiya kitu na ww ukakitasmini je ni kweli?
Uweze kujitasmini
Uwe na akili kutokutumiwa kama mty aliye kunywa viroba
Sifa hizi ukiwanazo ndio utasema kweli ww binadamu
Wafwasi wengi wa cdm hawana sifa hizi
Kwa hiyo wamepungukiwa na akili zilizo tajwa hapo juu
Ndio mana hawaishi kuropoka hovyo na kila wakisikia tu hawatasmini tena ni kuropoka tu