Dk Bashiru: Tukishindwa kusimamia haki mtutose

Amesemaje kuhusu Ripoti ya CAG na ufisadi wa kutisha wa serikali ya JPM??
 
Reactions: BAK
Dkt. Bashiru anamaanisha kuwa:-
= Wananchi wakikosa maji vijijini na mijini?
= Wananchi wakikosa huduma za umeme?
= Soko la mazao likianguka na kudorora?
= Watoto wa maskini wakikosa mikopo ya elimu ya juu?
= Vijana wetu wakikosa ajira?
= Wafanyakazi wasipoongezewa mishahara?
= Wamiliki wa vyombo vya moto wakisumbuliwa?
= Taarifa za CAG zikizuiliwa na Bunge?
= Mfumko wa bei za vyakula na bidhaa zikiwa juu?

Mie kweli huenda nimemwelewa vibaya Dkt Bashiru!
 
kwa hiyo uchafuzi huo wa serikali za mitaa mkishajitangaza washindi mtasema mnakuballika?bwana bashiru unaikumbuka hii kauli?YAANI WEWEMKURUGENZI NIKULIPE MSHAHARA,NIKUPE GARI NA NYUMBA HALAFU UNAMTANGAZA MPINZANI MSHINDI?

God and Time!
 
CCM wanataka kuitawala Tanzania kimabavu. hakuna usawa katika Siasa na Demokrasia. kila mwananchi analijua hili ila CCM wameweka pamba maskioni wakiamini watanzania bado ni wala wa mwaka 47, wasioweza ku analyse mazingira yanayowazunguka ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi na Kiutamaduni.
 
Thubutu atie neno ataanzia wapi? Wiki ya tatu inaingia hakuna yeyote yule ikiwemo huyo dikteta au yeyote ndani ya Siri kali au ccm aliyetia neno. Watanzania mniombee! Nenda zako huko hatuombei dikteta na muuaji.

Amesemaje kuhusu Ripoti ya CAG na ufisadi wa kutisha wa serikali ya JPM??
 
Thubutu atie neno ataanzia wapi? Wiki ya tatu inaingia hakuna yeyote yule ikiwemo huyo dikteta au yeyote ndani ya Siri kali au ccm aliyetia neno. Watanzania mniombee! Nenda zako huko hatuombei dikteta na muuaji.
Naona wamekaa kimya kama vile hawaioni, wapi Polepole, wapi Lusinde, wapi Josefu Kashiku Msukuma??
 
huyu ni yule bashiru wa PSPA kweli au mfanowake
 
Reactions: BAK
Kwa maana nyingine kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa watu wasikipigie kura maana hawasimamii haki kabisa kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…