Msikose kipindi cha dk 45 itv kesho j3 saa tatu usiku ambapo jaji warioba atanguruma kuhusu mchakato wa katiba
Mkuu jenereta lipi hilo? Mbona unawadanganya wananchi?
Msalani kuna sehemu nimewadanganya wananchi kweli au unataka uonekane umechangia pia wakati unamchukia Warioba! Umeme wa Tanesco kwa nchi yetu unaweza kukatika hata bila taarifa sasa kwa kipindi muhimu kama hicho cha dakika 45 nisikiandalie njia mbadala ya nishati ya umeme? Sasa nimedaganya wapi?
Kamanda mimi simchukii warioba ila nachukia tabia yake ya kuchakachua ya rasimu ya katiba iendane na matakwa yake. Ndio maana analazimisha serikali tatu.
Mimi nadhani Warioba angekaa kimyaa sasa. Kazi yake na tume imeshakwisha. Atuachie sisi tufanye yetu na maamuzi.
Kamanda mimi simchukii warioba ila nachukia tabia yake ya kuchakachua rasimu ya katiba iendane na matakwa yake. Ndio maana analazimisha serikali tatu.
Mimi nadhani Warioba angekaa kimyaa sasa. Kazi yake na tume imeshakwisha. Atuachie sisi tufanye yetu na maamuzi.
Mkuu jenereta lipi hilo? Mbona unawadanganya wananchi?
Msikose kipindi cha dk 45 itv kesho j3 saa tatu usiku ambapo jaji warioba atanguruma kuhusu mchakato wa katiba
Mkuu kwani UKAWA hawatarudi bungeni?
Mimi nadhani Warioba angekaa kimyaa sasa. Kazi yake na tume imeshakwisha. Atuachie sisi tufanye yetu na maamuzi.
""Ukawa waje kufanya nini bungeni?Wiki 2 kujadili upuuzi mara 2 mara 3 bila kufanya maamuzi kama kanuni zinavyosema!chondechonde UKAWA bila CCM kuacha upuuzi wao ni marufuku kurudi bungeni,acheni waendelee kubadilisha makanuni na wapitishe yote wanayotaka ila mwisho wa siku AMANI ya nchi ikivurugika,suspect nambari moja ni CCM Wakiongozwa na KIKWETE,LUKUVI,PINDA,KOMBA,PAUL MAKONDA,ASHA BAKARI,OLE SENDEKA,PETER SERUKAMBA,MREMA na MTETEMELA kwa matamko yake ya kumezeshwa na CCM.
Watanzania wengi wapo kama Mimi habari za katiba sizijui kabisaaaMimi nadhani Warioba angekaa kimyaa sasa. Kazi yake na tume imeshakwisha. Atuachie sisi tufanye yetu na maamuzi.
Msikose kipindi cha dk 45 itv kesho j3 saa tatu usiku ambapo jaji warioba atanguruma kuhusu mchakato wa katiba