So sad,msiba upo wapi?NAkumbuka tuliishi Jirani,mwenge national housing karibu na mapambano p.school.Nilisoma na marehemu dada yake Dr. Irene Malecela pale Mzizima sec.school.Namkumbuka akiwa anasoma mapambano alipenda sana kuigiza utangazaji wa marehemu uncle J enzi za RTD kipindi cha Phillips ndio yenyewe na National.RIP Rama Nyamka.