Dah! mara ya mwisho DJ D-White ndiye aliyenipa taarifa zake baada ya ukimya wa longtime.Tumempoteza legendary DJ maana ndiye professional DJ wa kwanza Bongo kuanza kumix ngoma radioni lakini pia ndiye aliupa umaarufu msemo "NDANI YA NYUMBA".
RIP DJ RANKIM RAMADHAN aka NDANI YA NYUMBA