Iliskika tobaa,tena kwasauti ya kwanza/
wajanja mkwanja wamegonga/
Mjinga nauli imekata/
Maniga wamekomba dolla/
Wamezama machaka/
Na usawa wakugawana chapaa ndo ukawa utata/....
Akaskika dogo/
"nawaheshimu sana mabraza/
Mnafanya mgao gani ambao siuafiki hata/
Vile mimi ni mdogo/
Mnanifanyia undava/
Hamuezi mkagawa kote halafu mimi mkaniacha"/....
MONEY..