Diwani wa Kata ya Themi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo {CHADEMA} Mh. Melance Kinabo {Kaburu}akiwa na wananchi wake wakisaidiana kuondoa jiwe lilokuwa kero ya muda mrefu katikati ya Barabara. Barabara ya Nanenane kuelekea kituo cha afya kwenye maandalizi ya ukarabati wa Barabara.