kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Hayatuhusu sisi mwambie mwenyeweNi Diwani wa Chigunga Hoja Mkalyamu. Ni mabati 14 yalitolewa na mbunge wa Busanda Lolencia Bukwimba.
Ni Diwani wa kata ya Chigunga Hoja Mkalyamu. Ni mabati 14 yalitolewa na mbunge wa
Busanda Lolencia Bukwimba. Ameamriwa kuyarudisha ndani ya siku 14 baada
ya kukiri kosa hilo.
source: Tanzania Daima.
arudishe?? kweni jela zimejaa tayari? afungwe tu. kweni si mtu yeye?
arudishe?? kweni jela zimejaa tayari? afungwe tu. kweni si mtu yeye?
hayatuhusu sisi mwambie mwenyewe
hiyo ndiyo sifa pekee waliyobaki nayo magamba .
arudishe?? kweni jela zimejaa tayari? afungwe tu. kweni si mtu yeye?