Diwani wa CCM afariki India


mkuu unajua swala sio kurudisha maiti ,,infact mtu akifa atuitaji kuumiza kichwa wapi pa kuzikia ..na akuna sehemu rahisi za kuzikia kama INDIA kama wafiw wanaitaaji kumzika INDIA kwa bei nafuu wa ni pm niwasiaidie..swala nani anakwenda kurithiudiwani wake kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mpwa x2 ..KAMA WATAAONA MICHANGO AIFIKI KULE KUNA JAMAA WANACHOMA HADI MWILI ASO WAKIFIKIA MUAFAKA TUWASILIANE TU KWA MSAADA M NINA MAMA MDOGO KABISA AMEFIA MAREKANI WAKAHANGAIKA NDUGU NAWAANGALIA NIKATOA KAUSHAURI KAMOJA JAMANI MBONA HIVI MSIBA GANI SIKU 13 AMJUI KINACHOENDELEEAA..BAHATI NILIWAHI KUWA KULE NIKAWASILIANA NA FRIENDS ZANGU WAKAFANYA MAANDALIZI..NIKATOA WAZO JAAMNI TUPELEKE WAHUSIKA KADHAA TUKAZIKIE KULE LEO HII MAMA YETU MDOGO IKABIDI ALE URAIA WA MAREKANI KINGUVU KWA KUZIKIWA UKO UKO..
 
Ndio maana wachaga awakuitaji kwenda shule kuchana na biashara za kuepeleka maiti moshi sikuhizi wanachanga wanangalia uhalisia wa walichonacho wakiona siyo kesho yake mzigo uko term 1 kinondoni kama wa hali ya juu uko term ii kindondoni pale chini else pembeni ya nyumba..tuachane na kuumiza kichwa mtu akiondoka infact kama akizikwa india mkitaka kwenda kumuona baada ya mwaka hata visa sijui kama mtaitaji
 
Nitashukuru kama amekuelewa,nasikitika tu hajashukuru kwa ushauri wa bure.
 
Watu wengine bwana............


 
Watu wengine bwana............

Nimefuatilia kwa makini,na kusoma between lines kwenye post uliyo lalamikia.
MY TAKE:
1/Hoja alizo toa mlalamikiwa ni nzito(Bila kujali usahihi wake,maana ni mtazamo wake,nami ninao wangu ambao si lengo langu ku expose hapa)
2/Umesoma hoja zake.
3/Umetofautiana naye(Kitu ambacho ni sahihi)
4/Umeshindwa kujibu hoja zake,na kukimbilia kumshangaa,dalili ambayo inaashiria vitu viwili vifuatavyo:
a/Wewe ni miongoni mwa vilaza wanao zidi kuongezeka humu jf.
b/Umeona uzito wa hoja na kuogopa kuzijibu,na kuamua kushangaa,kitu kinacho onesha,umereply post ya mwenzako ku call for sympathy ya great thnker waje kukujibia,ambao ni aina nyingine ya ukilaza,

Hence,UKILAZA WAKO CONFIRMED!
c/Vilaza wote wa jf kama wapo,watakuja hapa,watasoma mistari michache na ku reply "foolish",
"Craaaap",
au neno lolote baya lenye character 6,bila kuelezea kwa nini wame nijaji hvyo, kudhihirisha ukilaza wangu!
 
Poleni wana Mpwapwa, kila nafsi itaonja mauti Rip mheshimiwa
 

Chadema tutalipia huo usafiri ni rupia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…