Mh. Diwani alianza kuumwa mara tu baada ya kushinda uchaguzi. Hajawi kukalia kiti chake cha Udiwani. Ameugua muda mrefu lakini hakuna Daktari wa Hosp hata mmoja aliyepata kujua ugonjwa wake. Msiba upo hapa Tegeta kwa sasa.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema, Ameni
Diwani wa ccm ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini.

Wabunge wa ccm wakianza kufa pia kama sumari, itakua jambo jema...
Diwani wa ccm ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini.
hivi mtu akitoa uzi wa tanzia, hafu mtu mwengine akabofya 'LIKE' hii imekaaje wadau?
R.I.P diwani. Chadema pigeni jalamba huko.