Diwani CCM: Nyumba za Ibada Kinondoni zisitishe Maombi haraka


ashindwe katika jina la yesu huyo tarimba loh
 
Tanzania kuna vioja sana sijawahi ona/sikia nchi yenye vituko kama hii,aaaaah NCHI YA COMEDY.
 
Angeshauri wapunguze sauti za vipaza sauti ili zisiwe kero kwa wasiohusika na hizo dini.

Point mkuu japo sisi hapa mtaani kwetu tulishaga wafuata kuhusu kelele wanapokuwa wanakesha huku ndani mwetu tunawatoto wadogo sometime wagonjwa wakatujibu kuwa wakinyamaza wao basi mawe yatapiga kelele!
 
Makanisa yanasumbua si utani. Asisahau baa zilizopo ktk makazi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…