Diwani CCM afariki Dunia-Dodoma

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Vifo vimezidi kuwamaliza madiwani wa ccm Dodoma mjini,baada ya kufariki kwa madiwani kata ya kikuyu kusini na changombe sasa amefuatia diwani wa kata ya Msalato.naomba kutoa taarifa.source nipo Dodoma.
 
Kwani madiwani ndo hawafi? Duniani tupo safarini kila mtu atakufa
mungu amlaze pema peponi amina
 
CUF wakachukue kata hiyo maana najua kule udini mwingi............
 
taarifa tulizo nazo madiwani 300 wa ccm watakufa kabla ya 2o15' chadema wakiweza kushinda kata zote hizo itakuwa ni nafasi nzuri ya kujenga chama kuanzia kwenye shina'2o15 lazima wachukue nchi
 
kifo ni sure event, lazima kila mtu afe. kwahiyo hicho ni cha kawaida
 
Kwani madiwani ndo hawafi? Duniani tupo safarini kila mtu atakufa
mungu amlaze pema peponi amina
Wacha ukorofi basi. Mtoa taarifa ameona vema kukushirikisha hilo. R.I.P. diwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…