hata mbuyu ulianza kama mchicha, big up sanaWana JF nimetengeneza hizi program CSEE Calculator na ACSEE Calculator pamoja na nyingine nyingi karibuni mziangalie na mzikosoe.View attachment 48174 View attachment 48175Kudownload za CSEE njoo hapa: http://www.nyasiro.com/csee.html Kudownload za ACSEE njoo hapa: http://www.nyasiro.com/acsee.htmlKuangalia program zote njoo hapa: http://www.nyasiro.com/products.htmlhttp://www.nyasiro.com/csee.htmlAhsanteni sana!
Umesha download? Kama umesha download ni rahisi tu. Kwa CSEE kama ni v1.0 unatype grades unapata matokeo kama ni CSEE Lite v.1.0 unatype marks af unapress enter kila baada ya kutype then unapata matokeo....the same applied to ACSEE ukishamaliza unaweza kuprint!Mkuu sijaelewa jinsi ya kuitumia
Unajua mi ndo nimemaliza form6 so utaratb wa GPA bado cjaupata vizuri ila kama ukinipa utaratibu mzima nadhani itawezekana.vp khs gpa za chuo ujafanikiwa?
Unajua mi ndo nimemaliza form6 so utaratb wa GPA bado cjaupata vizuri ila kama ukinipa utaratibu mzima nadhani itawezekana.
Hongera sana sana sana.nende pale kwa mwanasheria kwanza akushauri njia nzuri ya kutunza haki zako ndipo uende kwenye wizara husika,japo najua si rahisi kukuunga mkono.ila pambana.kazi njema sana hiyo
Lakini kweli sidhani kama kuna chuo ambacho hakina hizo system za GPA mimi nilikuja na wazo la sekondari manake kuna upungufu(hakuna) wa program kama hizo ambazo zinatunza muda wakati wanafunzi wanayasubiri matokeo kwa hamu!Achana na mambo ya GPA,Ukita kuua kipaji chako anza mambo ya kufukuzana na bodi ya mikopo.tafuta histori ya alitengeneza face book au Bili gate na msaada zaida soma kitabu kinaitwa RICH DAD,POOR DAD By Robert Kiyosaki
Wezi kila kona! ntajitahidi kukamilisha hilo lakini pia naamini haki ya mtu haiibiwi kama ikiibwa atachelewa kuipata.hongera sana.. Inabidi usome creative commons ili ujue mambo ya copy right na copy left kabla wajanja hawajakuibia kazi yako... Swala kwenda kwa mwanasheria inabidi ulipe kipaumbele pia..