Division 4 ya 29

Division 4 ya 29

Write your reply... Labaratory Technician Kigezo Ni D Ya Biology Tu? If Yes, Atasumbuka Kupata Chuo, Priority Itakuwa Kwa Wenye Ufaulu Wa Science
 
Kuna dogo ana iv ya 29,
kiswahili C,
English D,
Geography D,
Civics F
Biology D,
History D,
Chemistry F,
Physics F,
Maths F,
Naomba kuuliza kwa ufaulu huo anaweza somea coz gan? Yenye masirahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usimlete advance kwa kupitia special need programs. Am sure itamsaidia, maana wapo wenzake wengi kama yeye wamepita kwa njia hiyo na sasa wapo vyuoni, na wengine kama yeye wa mwaka huu ninao hapa. Kama upo tayari, naomba unichek pm, ili nikupe maelezo vizuri ili tuweze kumsaidia kijana katika njia nzuri zaidi, kuliko hivyo kumkimbizia chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom