Division 1 na 2 tu kwenda degree? Mbona kazi ipo

Bora tu iwe hivyo kila MTU apate haki yake maana unakuta MTU ana div ii anaomba MD anakosa alafu kuna watu wana 3 wamechaguliwa koz hiyo hiyo kwa michongo tu
 
div3 degree wanaend na kupata loan ila si grant. Ila div1&2 wanapata grants.
 
Credible source please la sivyo kisutu inawangojea mnaopotosha jamii
 
HIZI HABARI TUMESHAZITOLEA UFAFANUZI MARA NYINGI LAKINI WATU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUFUATILIA MAMBO

Hebu acheni ulimbukeni wa Mitandao, Kwani Kama Huna Cha Kupost si Angalia tu Nyuzi za Watu na Kujisomea! Yanini Upost Fabricated Nesw??? Unapokosa Uzi Kwani ni Lazima Upost Mkuu??
GuideBook Ya HESLB imetolewa na Tumeisoma Yote Wala Hamna Kipengele Hicho Cha Div 1 & 2 kuwa Ndiyo Watakaopata Mkopo (Loan)!!!
Bali Watakaopata Ruzuku (Grants) tu Ndiyo Wanaotakiwa Wawe na Div 1%2.
Sasa hizo habari Za Kilumumba Wewe Umezipata wapi???? Tuletee Source of News basi ili tucomfirm hicho ulichotuletea!!!

NOTE:
Bodi ya Mikopo Haijatoa Kipengele Cha Div Kuwa Ndiyo Vigezo Vya Kupata Mkopo (Loan).
Bali imetoa Kipengele cha Div & First Class (Diploma Holders) Kuwa Ndiyo Vigezo vya Kupata Ruzuku (Grants).

KUMBUKA:
Hii Ruzu (Grants) Siyo Mkopo (Loan) Bali ni Kama "Scholarship" Unapewa Bure Hukopeshwi Wala Huji Kulipa! ila Sharti Lao Ni Moja tu!! Ukimaliza Masomo Ni Lazima Ufanye Kazi Nchini (Tz) Kwa Miaka 3, baadae Ndiyo ukitaka Kutimua Abroad utatimua.
 
Habar .na hzo grants wanatoa kwa koz ip?
 
Kweli nimeumia kusikia degree ni division 1 na 2 pekee, 3 inakuaje?
Mtu kasota maisha ya advance nauli shida akirudi nyumbani chakula shida, hata kusoma inakuwa shida hiyo pesa ya kusomea chuo hiyo advanced diploma ataitoa wapi
wazazi walikuwa wauza mitumba nayo imezuiwa, sijui uende wapi
Hakuna kitu kama hiki....
 
Mkitakataa muamin nitoe my number muje watsap niwatumie clip ya magu akiongea one na twoo chuo threee ****** hatutak wanyoa viduku chuo
Mbona mnazusha mambo yasiokuwa na maana mtakuja kuumbuka tuu hivi karibuni na taarifa zenu zisizokuwa na ukweli wowote ndani yake.
 
Back
Top Bottom