Kafanye uatafiti tena halafu ujipange upya, hivyo ina maana kabla ujio wa mzungu Tanzania hakukuwa na makabila yanayoitwa Nyakyusa, Hehe, Chaga n.k.
Hayo yote unayoyaita Makabila yaligunduliwa/anzishwa na Wazungu/Waarabu!
Kulikuwa Hakuna!
Duh! Wabongo somo la historia huwa linawatatiza sana, na hii inatokana na kuwa uhuru wa nchi mlipewa tu kwa sahani ndio maana huwa hata hamna shughuli. Kuna kadhaa niliwahi wauliza kama wanajua jinsi walivyopata uhuru na majibu yao yalikua vichekesho tupu.
Kasome historia kaka, rudi hadi shule ya msingi ama mtafute mwanafunzi wa shule ya msingi Kenya akupe darasa kuhusu historia ya Africa kabla ujio wa mzungu.
Kafanye uatafiti tena halafu ujipange upya, hivyo ina maana kabla ujio wa mzungu Tanzania hakukuwa na makabila yanayoitwa Nyakyusa, Hehe, Chaga n.k.
Mh blaza hapa umeniacha njiapanda kidogo, kwa iyo wachaga wenyewe walikuwa wanajiitaje kwa mfano, au hawakuwa na jina hadi mkoloni ndio akawapa, na chief mkwawa wa wahehe mbona alipigana na wajerumani kabla hajaanza pigana nao baba wa mkwawa alikuwa anaitaje milki yake, societies kwa kikabila ziliexist mkuu labda kidogo useme majina wazungu wameongeza which is not vry clear. Kulikuwa na kingdoms kubwa sana afrika magharibi from which wazungu walichukua civilizations wakaenda tumia makwao. Ndio wakatusoma wakaona despite maendeleo yetu kicivilization tulikosa jambo moja, that is unity, mfano ancient egyptian pharaoh were black men thats a fact, they never bothered to expand their teritories ndio maana unaona hadi walikuwa wanajiandalia makaburi yao, pyramids wakihofu maisha afterlife. Quiet the opposite ukifananisha na kina alexander the great, roman empires etc.
Sasa baada ya kujifunza tamaduni safi from africans, wakaja gundua hatuna umoja kivile, sisi weusi ndio tumeanzisha slave trade amongst ancient kingdom, so tatizo kubwa sio kugawanywa tatizo kuu letu weusi ni umimi mwingi sana which simplified kugawanywa kwetu, angalia hata sasa ivi tukienda kwenye ile topic ya lugha. Kenya wakikuyu walikataa kabisa kutumia swahili wakaprefer english na kikuyu. Tz bahati nzuri kabila nyingi walishawishiwa wakakubali kukitumia, though nasikia chaga walibana kidogo, wakaachia.
Nilichomaanisha ni hivi, kabla ya wageni kuja (Wazungu/Waarabu) kulikuwa hakuna Wachaga wala Wahaya kama tuwajuavyo leo hii bali kulikuwa na Jamii za watu waliokuwa wanaoishi maeneo yao na walikuwa hawajiiti Wachaga ama Wanyamwezi na ndio maana hata Lugha ya kichaga haipo kama ulikuwa haufahamu!
Wazungu walivyokuja hasa Wajerumani kwetu TZ ndiyo wakasema hii Jamii yote inayoishi kuanzia hapa mpaka pale ni Wachaga na wanatoka Rombo mpaka Machame na hii kuazia hapa wanaitwa Wameru na wale Wapare!
Na ndio maana Ndani ya hao tunaowaita Wachaga kuna tofauti kubwa sana kwa mfano Mchaga wa Machame ana ukaribu wa kila kitu kuanzia Utamaduni mpaka kuongea na Mmeru (ambaye SIYO Mchaga) kuliko alivyo na ukaribu na Mchaga wa Rombo, Mtu wa Marangu hasikilazani kabisa na Mtu wa Kibosho hivyo kama hawa wangekuwa ni kabila moja basi ni lazima wangeweza kuelewana kwa maana wangeongea lugha moja lkn SIYO!
Hivyo kilichotokea ndio hicho ni kwamba Wazungu walivyokuja wakachora Ramani na ilipoishia wakatoa Jina, wakasema ndani ya hapa ni wagogo, wale Wanyamwezi kuanzia hapa kwenda kule ni wasukuma, na baada ya huu mstari ni Wahaya, na kila mahali ni hivyo hivyo!
Kukata huu mjadala na kuufupisha maana sielewi unachovuta, hadi kiishe kichwani ndio tutajadili zaidi. Kwa sasa nitakupa historia kidogo ya kabila langu binafsi. Kabila langu liliitwa Agĩkũyũ (Kiswahili Kikuyu) hata kabla ya ujio wa mzungu. Hilo jina lilitokana na neno la kikwetu Gĩkũyũ maana yake mti aina ya Mukuyu uliozeeka.
Ukiwa tayari nitakuelimisha zaidi.
Kitu ambacho nakubaliana nacho ni ile divide and rule ya mzungu, alichora mipaka na kuamua nani ataishi hadi wapi. Hapakuwa na Mtanzania wala Mkenya.
Mkuu rudi shule mkuu...kabla ya ujio wa mzungu palikuwa na makabila tens yenye nguvu....fuatilia ujio wa wangoni kutoka afrika ya kusini, walikutana na akina nani kisini mwa Tanzania , jua ilikuwa mwaka gani then ujifunze ukoloni ulikuja kijaje.
Ikumbukwe ukoloni ulianza na partion of Africa, struggle for resources ...sio struggle for societies!! Palikuwa na centralized na non centralized states characterized by tribal segments
Ukija Uganda by then Buganda kingdom, iliyokuja kuzaa banyambo in northen Tanzania baada ya mkoloni ikaja kuwa karagwe, ilikuwa kingdom na ilikiwa divided ethnically.
Nenda kagera palikuwa na walangila, wachwezi na nyarubanja....
Ziliongozwa na wakama/ chiefs
Hawa walikuwa kwenye series ya vita/ conquest and expansion....mmoja akishinda anachukua ardhi ya kabila jingine pamoja na mifugo
Uku tabora palikuwa na chiefs walikuwa wakiongoza kabila zao na jamii zao angainst wengine
Ndio maana tulikuwa na colonial puppet wengi walikuwa viongozi wa makabila weak baada ya vita kuwa ngumu waliungana na mkoloni.
Kama ethnic tribes hazikuwepo, akina chief mangungo uko msovero waliongoza akina nani?
Mkwawa? Akina mirambo waliongoza nchi, kata au chama cha siasa? Si makabila?
Wazanaki wa nyerere walikuwa ni ethnic group toka mbali/withheld ndio maana baada ya kushindwa vita wakaja musoma, wazanaki kwa wakazi wa pale walimaanisha ' umekuja na nn'
Ni ukweli kuwa baada ya kuja mkoloni kuna makabila yaliongezeka kutokana na geographical segmentation na business za mkoloni e.g wazaramia/ wazanaki...makonde .nk nk
Watu kama wachagga walikuwepo na walikuwa na full legal and tribal system iliyompa hard time kuvunjwa.
Ni ngumu mtu aliye hai kukuelewa kuwa wasandawe, watindiga au wahazabe au maasai wamekuja na mkoloni!!
Ni vigumu kusema omukamaka