Mhh....... kama ni umbea basi huu utakuwa umevaa jeans.Diva vs Juma Nature mbona kama link inakuwa ngumu.Ila yule Diva akili yake sio OK kabisa anything can happen.
Hivi kwa nini diva ni muhaya lakini asiyependa kutambulika kama muhaya maana huwa anatumia nguvu sana atambulike kama mtoto wa kitanga lakini hataki ukanyigo kabisa!
Hivi kwa nini diva ni muhaya lakini asiyependa kutambulika kama muhaya maana huwa anatumia nguvu sana atambulike kama mtoto wa kitanga lakini hataki ukanyigo kabisa!
anatumia instagram jamani kila time mara onyeshe mauno mara ------ mara oho ana lilikupata mtoto. anakiu kweli kweli yakupata mtoto.
beach always beach tu. na kijisauti chake kilee
Asante Mnyabwilo kwa observations zako ila hayo nawaachia ninyi vijana. Ukishakuwa na umri mrefu kidogo kama mimi mambo ya ama sura ni mbovu au la huwa hayana uzito sana. Ukweli ni kuwa kila mwanamke ana uzuri wake ambao ukijipa muda kumchunguza bila kuathiriwa na mitazamo ya watu wengine utauona dhahiri.