Bila picha hainogi [emoji57]
Angejikaza akapiga kigae au haya ya rangi, lakini mpaka hapo amejitahidi ,Waswahili wanasema usiposhukuru kidogo hata kikubwa hutoshkurueeeeh hivi navyo vichekesho yani ghorofa linapauliwa na mabati haya ya kawaida.
Kweli mzee,Kuna kipindi the good ur IG bio is,the more easier your life becomes .Kuna watu walipiga ela za kina "M Company na e.t.c." Mark aliliona hili asee,Hahaha.kuja kwa sponsor ads kumeharibu biashara ya matangazo insta... enz zile ukiwa na followers wengi hulali njaa
Nami nimeshangaa mkuu.eeeeh hivi navyo vichekesho yani ghorofa linapauliwa na mabati haya ya kawaida.
Hahahaaa.... Itakuwa amewaringishia mashost zake, anyway atakuwa amefanya kwa kadri ya uwezo wake. Ama kweli u-super staa unatafutwa.Nyodo alizotoa hazilingani na hiyo nyumba yenyewe.