Nashukuru Mungu hunijui maana daah kwa vichambo seems ajira imekukalia sawa hiyo.Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima.
Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30.
Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma
View attachment 1764453
Diva muwekezaji, kawakopesha NSSF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa billionea anaringia pesa za nssf Jaman, diva akili zake haziko Sawa yule I’m telling you [emoji23]
Nimchukie mtu anayeomba achangiwe pesa ili akafanye IVF? Hayo ni matumizi mabaya ya chuki, huyo ni wa kuhurumiwa sana.mbona kama una chuki nae hivi[emoji3][emoji3][emoji3]
Yah!.Zitto nae inasemekana kapita
Hii alisema mwenyewe DivaZitto nae inasemekana kapita
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikaicheckHii alisema mwenyewe Diva
Kwenye interview yake na salama kile kipindi cha mkasi nafikiri ukiicheki youtube bado iko,tena alisema kabisa kwamba walishea bed na zitto na akamsifia kwamba the man is intelligent sijui nini nini huko
Go there[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikaicheck
Nahisi huwa wanaenda kwenye sayari ya Miller wanakaa huko lisaa limoja then wanarudi sayar ya dunianiAu umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu
Inashangaza sanaHahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.
Fungus???Diva ana kiki zaidi ya harmorapa mara mahali bilion 10, nani atoe B10 kwa fungus wakati kuna vi slay queen umbo no 8.