Wewe mwenyeo ni fani gani ya afya unaipenda??Habari wakuu
Natumaini kuna watangulizi hapa ndani waoweza kunipa mwanga kidogo kuhusu programs mbalimbali ktk kada ya afya, matokea yangu ya O-level nilipata div 1 huku physics B, chem A na bios C
Matokeo ya A-level phs C, chem C Bios C, bam C.
Msaada tafadhari
afanye iwe kinyume chake ndiyo atakuwa na uhakika was admission1/Medicine.
2/Pharmacy.
3/Dental Surgery.
4/Medical Laboratory Science.
5/Nursing.
Fuata huo mlolongo hapo juu.
Yeah tupate walimu wazuriKwa Matokeo Hayo Fani Pekee Unayoweza Kupata Chuoni Ni Nursing lakini Kwa Medicine na Pharmacy huwezi Kupata trust me.
Nakushauri Ukasome Bachelor Of Science with Education kwa Masomo ya Chemistry & Biology ndiyo inayokwenda Sambamba na Ufaulu wako.
Yeah tupate walimu wazuri
Acha wivu!Kwa Matokeo Hayo Fani Pekee Unayoweza Kupata Chuoni Ni Nursing lakini Kwa Medicine na Pharmacy huwezi Kupata trust me.
Nakushauri Ukasome Bachelor Of Science with Education kwa Masomo ya Chemistry & Biology ndiyo inayokwenda Sambamba na Ufaulu wako.
Kasome Medicine dogo, achana na hizo Gwin sjui Pharmacy hakuna neeema mbele ya njia. Lakin Chuo utapata huko Bugando, Kcmc nk ndo hakuna Competition sahau Kuhas MUHIMBILI tatizo mnapenda mno kusoma Daaaslam. Nenda zako huko Mkoani kapige shule then hiyo MD itakurudisha town. Hongera kwa msuri dogo.
Acha wivu!