hali mbaya
Member
- Jan 7, 2014
- 79
- 22
Mi ni mmoja kati ya tulioomba admission chuo cha DIT kupitia TCU lakini mpaka sasa hakuna majina yaliyotolewa.
Vyuo vingine vimeshatoa UDOM, UDSM, etc.
DIT kunani?
Vyuo vingine vimeshatoa UDOM, UDSM, etc.
DIT kunani?