Posho City JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 648 Reaction score 418 Jun 7, 2015 #1 Wadau DIT kama mnakumbuka mnamo february 2015 walitangaza nafasi za kazi..Mei 8-12/2015 ukafanyika usaili lakini tangu hapo kimya.. Je kuna mwenye updates au ndo lbda watu washaanza kazi jamani?
Wadau DIT kama mnakumbuka mnamo february 2015 walitangaza nafasi za kazi..Mei 8-12/2015 ukafanyika usaili lakini tangu hapo kimya.. Je kuna mwenye updates au ndo lbda watu washaanza kazi jamani?
M Mzanzibar Member Joined Sep 20, 2011 Posts 36 Reaction score 2 Jun 8, 2015 #2 Bado mkuu tungekuwa tumejua