Huna hata ma best friends huko chuoni๐sina hela nifanyeje sasa?
ukishaomba tu nao wanaomba, ndo mlivyo๐Huna hata ma best friends huko chuoni๐
๐ณvitoto vyenzie alisema havitaki....anataka akina sisiHuna hata ma best friends huko chuoni๐
Si unawakatalia tu๐๐๐, mnaachana ukishakula tayari.. Afu wanachuo hawanaga mambo mengi, unataka kuniambia ata Afu tatu tatu za chipsi yai huna kweli??ukishaomba tu nao wanaomba, ndo mlivyo๐
Aitoe wapi nae ni afu tatu?Si unawakatalia tu๐๐๐, mnaachana ukishakula tayari.. Afu wanachuo hawanaga mambo mengi, unataka kuniambia ata Afu tatu tatu za chipsi yai huna kweli??
Basi mwache aendelee kula mkono wake๐ณvitoto vyenzie alisema havitaki....anataka akina sisi
Jamani๐๐๐, anazopewa za matumizi abane .. matumizi yenyewe ndo kama hayoAitoe wapi nae ni afu tatu?
sio kwamba nawapotezea muda?๐คฃSi unawakatalia tu๐๐๐, mnaachana ukishakula tayari.. Afu wanachuo hawanaga mambo mengi, unataka kuniambia ata Afu tatu tatu za chipsi yai huna kweli??
๐๐๐๐na sisi na utoto wake tunamwomba pesa vivyohivyoBasi mwache aendelee kula mkono wake
Mama mkinga,baba mpare unadhani mtoto yupojeJamani๐๐๐, anazopewa za matumizi abane .. matumizi yenyewe ndo kama hayo
Una upendo wa ajabu,, Hadi unawaza side effects ๐ฌ๐๐sio kwamba nawapotezea muda?๐คฃ
Hiyo ni pie haiepukiki๐๐๐๐na sisi na utoto wake tunamwomba pesa vivyohivyo
Na wakinga walivyo wabahiri Sasa๐๐Mama mkinga,baba mpare unadhani mtoto yupoje
๐๐๐ wapare umewaacha wapiNa wakinga walivyo wabahiri Sasa๐๐
Sema wapare Sijaishi nao, Sina experience kabisa ๐.. Basi kijana Hana budi kula kwa mikono Hadi pale atakapo...... hata sijui Hadi lini๐ฌ๐๐๐๐๐๐ wapare umewaacha wapi
mimi mchaga 100%Mama mkinga,baba mpare unadhani mtoto yupoje
Ndiyo utatomber hela mkuumimi mchaga 100%
๐ alafu penzi likaendelea au lilikufa?Sijakomoa ila nliconnect to nearby bluetooth[emoji23]