Distance from Dar to Dodoma is 583.64 kilometers, 246 Miles:

Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,446
989
Wanajf,

Kulikuwa kuna haja gani ya kumfuata Tundu lisu na kumkamata nje ya Bunge tukufu

Ikizingatiwa alikamatwa kwa mbwembwe.

Gharama za kwenda Dodoma na kurudi kumbe ni kuja kujibu hivi:-

LISU:Hofu kama ya Mungu au ya shetani au ya Dikteta, inazuiliwa kisheria?

SHAHIDI:Ndio inazuiliwa

LISU:Sheria gani?

SHAIDI :sijui

Aibu iiiiii ndio serikali inapunguza matumizi kwa kuwafuata watu umbali wote huo.
 
yani Mimi mwenyewe sijamuelewa mwenye hii nyuzi,halafu Siku nyingine ukiandika au ukiwa unatoa maoni usidhani kila MTU yupo kichwani mwako kwa hiyo atakuelewa ,sana sana utakua unajielewa peke yako na kuwashangaa wengine kana kwamba hawakuelewi ,kumbe kimsingi hujaweka mazingira ya kueleweka.
 
Wanajf,

Kulikuwa kuna haja gani ya kumfuata Tundu lisu na kumkamata nje ya Bunge tukufu

Ikizingatiwa alikamatwa kwa mbwembwe.

Gharama za kwenda Dodoma na kurudi kumbe ni kuja kujibu hivi:-

LISU:Hofu kama ya Mungu au ya shetani au ya Dikteta, inazuiliwa kisheria?

SHAHIDI:Ndio inazuiliwa

LISU:Sheria gani?

SHAIDI :sijui

Aibu iiiiii ndio serikali inapunguza matumizi kwa kuwafuata watu umbali wote huo.
Kesi aliyoitiwa ndani ni ya kuhusu yy kusema kuna njaàa kwenye mkutano wa waandishi na hiyo ya maswali ni nyingne
 
Back
Top Bottom