Unaweza kazi ya dish ni kukusanya mawimbi na king'amuzi hakijui unatumia dish gani mradi kimenasa mawimbi husika.La msingi utumie ukubwa wa dish linalopendekezwa na kampuni husika.
Baba dishi ni dishi tuu, usijale yale mapichapicha/ matangazo pale cha msingi ni size ya Dish. Pili zile KU LNB/ Kikombe kidogo Vyote vinaingiliana haijalishi. Kitu unique ni King'amuzi tuu