Discussion: Waweza kubali kutumia au kumiliki vitu ambavyo vilikua vinamilikiwa na Ex wa mke au mpenzi wako?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,363
5,110
Nimewahi kua katika mahusiano na binti ambaye aliachana na mumewe.

Nilikuta yule jamaa alimwachia vitu vyake vingi kama TV,radio,kabati ,masofa ,radio kitanda na takataka kibao za ndani ikiwemo mavazi .
Kipindi hicho nilikua nayaanza maisha akanipa kama zaiwadi nivichukue,kiukweli niligoma kabisa kabisa jambo lililosababisha uhusiano wetu kuyumba.

Je, ni sahihi kurithi Mali za Ex wa mpenzi wako?
 
Kama unaweza kula K iliyokuwa inamilikiwa na jamaa, unashindwaje kumiliki hvy vitu vingine.?

Ww beba tuu vitu, ila jamaa akirudi akiwa amebeba mafuta ya kulainisha usiwe na hasira
 
Kama unaweza kula K iliyokuwa inamilikiwa na jamaa, unashindwaje kumiliki hvy vitu vingine.?

Ww beba tuu vitu, ila jamaa akifufuka akiwa amebeba mafuta ya kulainisha usiwe na hasira
Haha jamaa hakufa ni wale watu wana maamuzi magum akikuacha anaachana na mambo yote ambayo mlikua mnashare hata marafiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom