Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

Hamko serious wote....Muda wote huo mlikuwa mkiishi kama kaka na dada ama? How come uchukue so softly na kumpa go away nyepesi kiasi hicho? Embu sema ukweli...seem baada ya kutumiana kwa musa mrefu umeamua kuacha used na kuimport kitu kipya! Si ndio?

hapana,kwanza hatukua tunaishi pamoja ila alikua anakuja hom,usihukumu kaka,ujue zamzam hii
 
kwa kweli hata mm mawazo yangu yamesimamia hapo,lkn kama nikisikia kuna mtu anamega
Kumbe tunashauri bure tu hapa...mtu anakuacha nyumbani anaenda disco probabily na watu ambao anaona ni wajanja zaidi yako...pengine hata kumegwa anamegwa unasema ni wako atarudi...naanza kuona mwenye matatizo ni wewe wala sio demu...atakua anakuona ni mtu usiye na msimamo na mtazamo wako wa maisha..
 
kabila gani kuna makabila hasa ya pwani wabishi
 
mi ningependa kufahamu haya kisha nikushauri cha kwanza kwann unamkataza asiende disco? baada ya kugundua anapenda disco sana na unampenda kwann usiwe unamsindikiza sababu ukipenda boga penda na ua lake? ww mwenyewe je huwa uendi disco au ulikuwa unaenda sasa umeacha? majibu tafadhali ili niweze kukusha uri
 

kwa kweli namuomba mungu sana anipe mke mwema,nimefarijika sana ushauri wako na hakika nitaufanyia kazi
 
kampan anaefuatana nae kwenda disco ni ma l a y a,alafu uko ndo awali nilmkuta na mwanaume lkn akaachana nae,nahic kule ndo mwanzo wa kila kitu
 
Huyo demu lazima Atakua mbilikimo.. Maana vijutu vifupi vibishi kinyama haswa wasichanaa... Achana nae huyo mtakuja kushindana sana kwenye ndoa. Nakutakia kila la kheri
 
Huyo demu lazima Atakua mbilikimo.. Maana vijutu vifupi vibishi kinyama haswa wasichanaa... Achana nae huyo mtakuja kushindana sana kwenye ndoa. Nakutakia kila la kheri

asante kwa ushauri
 
Kwani ulivyomkuta alikuwa anaenda disco? Kama ulimpenda wakati disco ndio mpango mzima kwake inabidi tu uwe mpole
 
Hakuna kitu nzuri kama kuwa na mpenzi wako kuamkia weekend. Kuna mtu alikuwa anamchukua so kaona abebe jumla! Sema nini arifu, mtafute mnyonge...
 
Mwenzio hajamaliza ujana..wewe unataka kumpa majukumu ya kuwa mke now....muache akue kidogo...
 
Huyo mwanamke hakutaki tu. Afu inaonekana mwenzio bado anataka ujana astarehe kwanza. Sasa sijui baada ya kuoana angeendelea na disco lake? Anyway mshukuru Mungu kwa kila jambo, itakuwa kuna kitu anakuepusha nacho. Wanawake siku hizi tunavyolilia ndoa afu mume mtarajiwa akambie me na wewe basi, na ujibu tu poa. Mmmh???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani ulivyomkuta alikuwa anaenda disco? Kama ulimpenda wakati disco ndio mpango mzima kwake inabidi tu uwe mpole

nimemkuza mwnyw kwan hapa anapokua ndo anabadilika inauma sana
 

kweli kabsa kwan hata nidham ya mume mtarajiwa imeisha.kitu kinachoniumiza ni kwamba nashindwa kumsahau.nishaur ili nimpoteze mazima
 
I can see she is applying this principle "Don't play WIFEY until he makes you a WIFE!". 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…