Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Jamani wanajamvi hamjambo!

Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi,

Kila siku namkataza asiende disco lakini mwenzangu kuna wakati anatulia lakini sasa amefikia hatua ikifika jumatano anajigombanisha na anaenda kulala kwao ili ijumaa aende disco.

Kwa kweli nimemvumilia sana na nampenda ila kwa kitendo cha kwenda disco.

Kiliniuma sana na nikamwambia mim nimeshindwa nimeghail yeye akajibu poa.

Naomba ushauri kwa hili na sipendi matusi kwani mwenzenu,nimevurugwa.
 
Pole sana ..lakini siyo mwisho wa Dunia !! Mungu kakuepusha na masayibu ya huyo na kakutengea Binti wa size yako atakuja kwa wakati maalumu. Tulia na uridhike hayo ni madogo tu!
 
Pole sana ..lakini siyo mwisho wa Dunia !! Mungu kakuepusha na masayibu ya huyo na kakutengea Binti wa size yako atakuja kwa wakati maalumu. Tulia na uridhike hayo ni madogo tu!

Asante kwa ushauri mkuu,kwa hyo niendelee na mcmamo wangu wa kuachana nae moja kwa moja.?
 
Mrudie Mungu na utubu dhambi ya uzinzi, ukipata mwingine asilale kwako mpaka mfunge ndoa, lakini ukiona manyoya ujue kaliwa huyo.
 
Hapo hakuna mke, mshukuru mungu kwa kukuonyesha njia.
 
Changamoto haziishi hapa duniani..
 
Mrudie Mungu na utubu dhambi ya uzinzi, ukipata mwingine asilale kwako mpaka mfunge ndoa, lakini ukiona manyoya ujue kaliwa huyo.

haswaa,hata mim naona.asante kwa ushauri
 
Acha uzinzi,kesha gundua huna mpango naye,utaishije na mtu bila ndoa? yeye siyo mtoto, hiyo ilikuwa njia ya kuondokea,tulia utapata mwingine but pole
 
Acha uzinzi,kesha gundua huna mpango naye,utaishije na mtu bila ndoa? yeye siyo mtoto, hiyo ilikuwa njia ya kuondokea,tulia utapata mwingine but pole

asante mkuu
 
Peaneni muda kwanza kama atarudi huyo wako. Vinginevyo hakuwa wako.
 
Hamko serious wote....Muda wote huo mlikuwa mkiishi kama kaka na dada ama? How come uchukue so softly na kumpa go away nyepesi kiasi hicho? Embu sema ukweli...seem baada ya kutumiana kwa musa mrefu umeamua kuacha used na kuimport kitu kipya! Si ndio?
 
we acha tu,unapopenda hupendwi,ila jamaa maumivu ya mapenz ni makali saana.
Pole sana mkuu...ila kama washikadau walivyosema mungu anakuepusha na kitu flani...maana sisi wenye uzoefu kuna mademu tuliwaachaza/walituacha sasa hivi ukiangalia unashukuru sana..maana ilikua balaa.. ni ngumu ila kama vipi achananae for real, uconcetrate kwenye mambo yako, ujipange taratibu tu mambo yataaenda... kuna watoto wazuri wanajitambua..wapo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…