Wadau nimepata wakati mgumu kusikia kuwa Ngasa amesaini yanga.sina tatizo na yeye kwenda Yanga,ila concern yangu ni je;DIRISHA LA USAJILI TAYARI LIMEFUNGULIWA?KAMA BADO NI UTARATIBU/KANUNI/SHERIA GANI ZINAZOTUMIKA HAPO?

mkuu kwa mchezaji alie huru anaweza kusajiliwa wakati wowote kwasababu hana mkataba unamfunga, isipokuwa hata weza cheza mpaka usajili utakapofunguliwa rasmi na kuthibishwa