Direct Sales Executive Remuneration

Direct Sales Executive Remuneration

Nacho fahamu kwenye haya matasisi ya fedha huingi kiboya mpaka waje wakuamini umevumilia vya kutosha lazima ukaye Kama kujitolea vile hapo yataka moyo na wakati wao unajua Mambo ya fedha ni magumu asikuambie mtu
 
Ukweli ni kua kwa taasisi zilizo nyingi kwa sasa na tunakoelekea ajira za moja kwa moja zitakua chache sana. Nyingi kwa sasa zinatafuta watu wakujitolea huku wakipata uzoefu, then badae wanawachukua moja kwa moja. Ukisubiri direct entry employment kwa sasa ni changamoto sana.
 
kwa crdb sijui..ila nmb niliwahi kupiga hizo mambo miaka kadhaa iliyopita..mshahara ulikuwa laki 4 kama gross,na commission ya elfu moja kwa kila account unayofungulia mteja.andaa kiatu chenye soli kubwa
 
Duuuh, vp ajira ya kudumu kaka, hukuihitaji au ndio ulipata shavu mahali?
kwa crdb sijui..ila nmb niliwahi kupiga hizo mambo miaka kadhaa iliyopita..mshahara ulikuwa laki 4 kama gross,na commission ya elfu moja kwa kila account unayofungulia mteja.andaa kiatu chenye soli kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom