direct fees

nny

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
40
Reaction score
5
nimechaguliwa udom naona direct fee sh 265000,,hii imejumuishwa nn na nn...ndio hostel,bima ya afya au..sielewi wandugu
 
Hiyo ni ada ambayo unapaswa kulipa haiingiliani na michango mengine kama accomodation,udoso ama bima. Hiyo ni ile % iliyobakia ya mkopo wako ambayo ww unaichangia ktk tution fees
 
hizo ni gharama zote unazotakiwa kulipa ukitoa tution fee mfano udoso,nhif,kitambulisho nk
 
Umejuaje hizo direct fee?Chukua admission letter isome vizuri ina kila kitu humo
 
hizo ni gharama zote unazotakiwa kulipa ukitoa tution fee mfano udoso,nhif,kitambulisho nk

hz nk ni zip, mm nasubir kuwa approved na chuo. admision latter cjafanikiwa kuipata na kipi kinachoendelea uko wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…