maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,012
- 2,644
WanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii.
Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi.
Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na tunayoendelea kupata kwenye sekta za afya, elimu, usafirishaji etc tunatakiwa tuhakikishe huduma hizi zinaanzia kwetu (nyumbani, mtaani, kijijini, wilayani etc).
Hii ni sababu kwa mfano afya, dawa zote zinatoka nje ya nchi isipokuwa vidonge vichache vya paracetamol 😭.
Serikali ihakikishe bidhaa za dawa na vifaa vingine vinatengenezwa nchini. Kwenye elimu vifaa vyote vinatengenezwa hapa nchini. Pia usafirishaji kwa mfano magari na consumables nyingine kama gesi etc tunazitoa ndani ya nchi yetu.
Hii ya kutegemea kila kitu kutoka nje inalemaza nchi na kuirudisha nyuma.
Ifike mahali Rais wa nchi tumpime na vitu tunavyotengeneza na kutumia wenyewe na pia kuuza nje. Akishindwa ahukumiwe kwa hilo.
Nawakilisha