abaa4all JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 326 Reaction score 335 Feb 21, 2023 #1 Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
KndNo1 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 627 Reaction score 2,062 Feb 21, 2023 #2 abaa4all said: Habari wana jamvi. Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. Nb:kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto. Ukiwa diplomat huhitaji muonekano. Plate number utapata diplomatic. Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi. Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia.
abaa4all said: Habari wana jamvi. Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. Nb:kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto. Ukiwa diplomat huhitaji muonekano. Plate number utapata diplomatic. Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi. Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,829 Feb 21, 2023 #3 Nunua Mercedes Benz S-600 mkuu.
JituMirabaMinne JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 3,383 Reaction score 9,829 Feb 21, 2023 #4 wa kupuliza said: Nunua Mercedes Benz S-600 mkuu. Click to expand... Au Maybach S650
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,293 Reaction score 4,969 Feb 22, 2023 #5 abaa4all said: Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Kamata mazda cx 5 black 2018
abaa4all said: Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Kamata mazda cx 5 black 2018
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,004 Feb 22, 2023 #6 GX R 300 series, Watakusalim hata hao diplomats
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Feb 22, 2023 #7 abaa4all said: Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Hiyo NB
abaa4all said: Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni Click to expand... Hiyo NB
Sex addict JF-Expert Member Joined Feb 21, 2023 Posts 902 Reaction score 1,816 Feb 22, 2023 #8 Au hili lipo tu Nigeria bongo halipo Andaa 300 Million naira
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,969 Feb 22, 2023 #9 KndNo1 said: Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto. Ukiwa diplomat huhitaji muonekano. Plate number utapata diplomatic. Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi. Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia. Click to expand... Umemjibu kisomi,huku nilipo saloon car zote huitwa taxi,hiyo crown yako unayoringia dar huku ni taxi
KndNo1 said: Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto. Ukiwa diplomat huhitaji muonekano. Plate number utapata diplomatic. Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi. Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia. Click to expand... Umemjibu kisomi,huku nilipo saloon car zote huitwa taxi,hiyo crown yako unayoringia dar huku ni taxi
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,199 Reaction score 7,750 Feb 25, 2023 #10 SipeNDI kuoGA said: Au hili lipo tu Nigeria bongo halipo Andaa 300 Million naira View attachment 2526846 Click to expand... Chuma hiko hapo in Bongo land
SipeNDI kuoGA said: Au hili lipo tu Nigeria bongo halipo Andaa 300 Million naira View attachment 2526846 Click to expand... Chuma hiko hapo in Bongo land
Sex addict JF-Expert Member Joined Feb 21, 2023 Posts 902 Reaction score 1,816 Feb 25, 2023 #11 Mafian cartel said: Chuma hiko hapo in Bongo landView attachment 2529006 Click to expand... Ipo dar au dodoma mkuu Daaah au ni la kwako nn 🤯
Mafian cartel said: Chuma hiko hapo in Bongo landView attachment 2529006 Click to expand... Ipo dar au dodoma mkuu Daaah au ni la kwako nn 🤯
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,007 Feb 25, 2023 #12 Vintage classic😜