1990-96 Minister of Finance Amina Salum Ali, Zanzibar (Tanzania)
1996-2005 Minister of the Treasury
1985-88 Deputy Minister of Finance, Economy and Planning
WAKATI HUU ZANZIBAR ILIKUA ECONOMICALY BETTER KULIKO WAKATI WOWOTE
and 1988-90 Minister of State of Foreign Affairs for International Cooperation.
ANA DESERVE KUPEWA HII NAFASI
In 2000 she was a candidate for the nomination for Presidential candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party. From 2005 State Minister in the Chief Minister's Office.
Hapa nadhani kunawatu wanchuki binafsi, hakuna critism za msingi, kama nikuboronga kwenye maswali markwamara inatokea kwa kiongozi wowote, mlitaka apelekwe m-NIGERIA ndo mgeona kapelekwa msomi? wa TZ inabidi tujiamini na Suppotiana.
Nakama tatizo ni lugha ata TONY BLAIRE, BUSH walivuruga sana pamoja na kua lugha niyao, Blaire alishindwa kuandika TOMORROW akaandika toomorow Nyie mnaishi dunia gani?
1. Akina mama Tz naona wameipandisha chart nchi..ukianza na Asha Rose Migiro, mama Tibaijuka na Mama Mongela. Sema huyu Amina Salum..may be shule na exposure ni ndogo!
2. Watz ni vema tujue kuna mambo ya kazi na pia kuna vitu vya aibu..hata kama ni ulaji..basi isiwe kwa nafasi kubwa hivi AU Ambasador US..ingefaa awe na Masters au PhD ktk International Relations na kuwa diplomat mda mrefu.
Mimi binafsi ukunipa kazi ya ulaji kama sina ujuzi na kama naona itaniumbua..sitaikibali!
Shule ndogo kivipi? Huyo mama ana MBA!
Sasa nimeshaamini kuwa una chuki na wazanzibari!
Shule ndogo kivipi? Huyo mama ana MBA!
Siyo haki kumhukumu kwa lg.
kwanza ingeletwa audio tukasikia hasa alivyoongea.
Halafu intelligence ipi mnataka awe nayo katka kuongea? mlitaka aongee american english, ambayo haielewi?
Au jamaa aliyekuwa ana muhoji alionyesha pahala kuwa hakuwa akimuelewa?
Mbona sioni tatizo kama ameongea na ameeleweka!
Hicho kilichoandikwa hapo ndo exacltly alichoongea na Martin?
Hebu acheni umbumbumbu wenu wa kuacha kujadili kilichoongelewa na kuchupia muongeaji na mambo yasiyokuwa ya msingi.
Unampa mtu credit kwa nafasi alizoshika? Na economic condition zilizoprevail? Bia ya kutuambia alifanya nini?
Ukiniambia Ngozi-Okonjo-Iweala anastahili a high international position, ukanipa academic profile yake na kutoa achievents zake kama ku negotiate kufutwa deni laNigeria, pamoja na msururu wa vitu alivyofanya nitasikiliza, lakini ukiniambia achievement yake ni kuwa Finance Minister wa Nigeria nitakuona either una m un dersell au hana achievement.
Vivyo hivyo kwa condition zilizo prevail chini yake ambazo for all that we know zinaweza kuwa zimeachwa na administration ya Shehu Shagari au Jakub Gowon kama siyo na Azikiwe au hata toka organizations za Chief Obafemi Awolowo.
Kwa hiyo onyesha alichofanya, siyo titles zake wala alicho oversee, which by the way could be better.