Masumbuko r bilali Senior Member Joined Dec 27, 2012 Posts 158 Reaction score 35 Jan 14, 2015 #1 Nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art. ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree?
Nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art. ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree?
chija JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 276 Reaction score 65 Jan 14, 2015 #2 haaaaaaaaaaaaaaaaa
Jospina JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,421 Reaction score 1,395 Jan 14, 2015 #3 Masumbuko r bilali said: nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art.ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree? Click to expand... hakunaga kitu kama hicho
Masumbuko r bilali said: nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art.ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree? Click to expand... hakunaga kitu kama hicho
K kayimukaa JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 494 Reaction score 673 Jan 14, 2015 #4 kwani uko mkoa gani mkuu
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,514 Reaction score 42,649 Jan 14, 2015 #5 Masumbuko r bilali said: nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art.ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree? Click to expand... Mkuu unaweza pata jaribu kuongea na wahusika Wa vyuo directly...
Masumbuko r bilali said: nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art.ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree? Click to expand... Mkuu unaweza pata jaribu kuongea na wahusika Wa vyuo directly...
K kindondindo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 503 Reaction score 151 Jan 15, 2015 #6 2.8 vip hapo!
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Jan 15, 2015 #7 kama mna vyeti vizuri vya form six mnaweza kuomba TCU pia ata GPA iyo mnawezakujaribu TCU najua mtapata msikate tamaa
kama mna vyeti vizuri vya form six mnaweza kuomba TCU pia ata GPA iyo mnawezakujaribu TCU najua mtapata msikate tamaa
lucda New Member Joined Nov 1, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Jan 15, 2015 #8 Kiongozi pambana, kitabu muhimu sana!!!
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jan 18, 2015 #9 Watu wanapata hadi GPA ya 2.4 wewe unashangaaaaaaa