Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

Diploma ya ualimu kusoma degree ya md

weis

Member
Joined
Sep 19, 2018
Posts
15
Reaction score
22
Wadau msaada naomba kujuzwa kama ni kweli mtu akisoma diploma ya ualimu kwa masomo kama physics na mathematics au chemistry na bios anawez kwenda kupiga degree ya medical doctor . Natanguliza shukran zangu wakuu
 
Vyuo vya serikali ada huwa 1.1 mpaka 1.2 milion kwa mwaka na private vingi vinaanzia 1.8-3 milioni kwa mwaka chaguo ni lako
Na diploma ya clinical officer bei gani?
Je kuna mkopo?
 
Haliwezekani kabisa hili..ni lazima uwe na Diploma ya Clinical officer
Inawezekana, ila awe na Degree ya Ualimu au Degree yoyote inayoDeal na Biology, Chemishy,Physics.
 
Wadau msaada naomba kujuzwa kama ni kweli mtu akisoma diploma ya ualimu kwa masomo kama physics na mathematics au chemistry na bios anawez kwenda kupiga degree ya medical doctor . Natanguliza shukran zangu wakuu
Mkuu, kwa Diploma haiwezekani.

Ila ukiwa na Degree ya Ualimu ya hayo masomo ya Sayansi....unaweza kusoma MD. Ila pia uwe na GPA nzuri pia.

Nakuletea Screenshot ujionee aua nenda TCU GUIDEBOOK, tafuta ile ya Equivalent qualification utaona.

Pi hii system haijaanza leo, toka long time walimu wa science walikuwa wanaweza kusoma MD.
 
Na diploma ya clinical officer bei gani?
Je kuna mkopo?
Diploma ya Clinical Officer inategemeana na vyuo.

Vyuo vya Serikali Ada nafuu, Private ada kidogo ya juu. (Ingia NACTE, Tafute Guidebook yao ya Diploma uone kila chuo na bei yake)

Mkopo hawana.
 
Mkuu, kwa Diploma haiwezekani.

Ila ukiwa na Degree ya Ualimu ya hayo masomo ya Sayansi....unaweza kusoma MD. Ila pia uwe na GPA nzuri pia.

Nakuletea Screenshot ujionee aua nenda TCU GUIDEBOOK, tafuta ile ya Equivalent qualification utaona.

Pi hii system haijaanza leo, toka long time walimu wa science walikuwa wanaweza kusoma MD.
Soma mstari wa mwisho kwenye requirement hapo.

Screenshot_2019-09-09-00-07-36.jpeg
 
Back
Top Bottom