huwezi kusoma kwasababu biology ni core subject kwa health programmeMi nilisoma sec ya ufundi ckusoma bios,bt form 6 nikapiga pcm, je naweza kusomapharmacy au dip in radiology
Mi nilisoma sec ya ufundi ckusoma bios,bt form 6 nikapiga pcm, je naweza kusomapharmacy au dip in radiology
SSamahan wakubwa Naomben ushauri Nina
Chemistry _C
Biology_C
Physics_F
Mathe_D
English_C
Kiswhl_C
History_D
Civics_D
Geography_D
Nnatak nlisiti ili niweze kusoma
Clinical officer
Sasa hapa nlisiti masomo mangap!?
Au kwa matokeo haya naweza kusoma
Pharmacy!??
Hicho ki2 hakipo mkuu yaan sio pharmacy sio clinical medicine vyote lazima uwe na Phyz/engineering science D biology & chemistry C hapo ndo unapata diplomaPhamacia unasoma vzr lakin clinical ngumu hapo phy imekuangusha
Jamaa kaona Pharmaceutical science kama ni nyepesi tu hata ukiwa na F ya physics unaenda..Hicho ki2 hakipo mkuu yaan sio pharmacy sio clinical medicine vyote lazima uwe na Phyz/engineering science D biology & chemistry C hapo ndo unapata diploma
Umesoma guide book ya mwaka huu vzr inasemajeJamaa kaona Pharmaceutical science kama ni nyepesi tu hata ukiwa na F ya physics unaenda..