Diploma ya afya#

Diploma ya afya#

Joined
Oct 30, 2018
Posts
11
Reaction score
1
Naomba kuulza kwa matokeo haya
Phz-D
Chem-C
Bio-C
Math-D
Englsh-C
Niombe chuo gani cha afya cha serikali ili iwe rahisi kukubaliwa? Ushauri plz
 
Kwa CO omba CoTC_lindi, CoTC_Mafinga& CoTC_Musoma kwa lab Omba Singida school of Medical laboratory na AMO_ Tanga pia omba, Nursing tafuta chochote Cha GVT chenye Hospital, Pia kuna Radiology_ Bugando& MUHAS!!! Waweza tafuta hata Optometry na Dental pia japo sivijui Sana Vyuo vyake!!!
 
Nitakuwa mkweli kwako, kwa matokeo hayo kupata CO chuo cha serikali itakuwa kama bahati ya mtende kuota jangwani. Niamini mimi Ushindani uliopo kuingia vyuo vya serikali sio mdogo, alafu usipokuwa makini ukitegemea kwamba eti utapata bahati ya chuo cha serikali bila kuwa na plan B utachemsha na kujikuta unasubiri mwaka
 
Okay, kwa bahati ya kujaribu fanya hivi, Kwanza usiombe katika vyuo hivi
Lugalo
Kilosa
Kibaha
KCMC
sure as hell hakuna hata kimoja utapata hapo kwa sababu ya ushindani.
Angalia nacte guideline book, tafuta vyuo vinavyokuwa na uwezo wa kuchukua capacity kubwa ya wanafunzi, mfano Mtwara cotc (160) target vyuo kama hivo, pia angalia mahali ambako watu wengi hawangependa kwenda kuishi, nazungumzia, maeneo ambayo hayako central ya mji.
Pia usilazimishe CO sehemu zote, weka hata Medical laboratory sehemu nyingine. Nakuombe ufanikiwe.
 
Nimekubali wewe ni Mkweli, na huu ndo ukweli.
 
Niwe mkweli ndugu yangu, vyuo vya serikali ni ngumu kupata coz capacity ni ndogo pili kuna wale form 4 waliochagulowa moja moja tatu kuna form 6 waliozingua, unakuta anatumia cheti cha form 4 alinyoosha div 1 ana ABB....hapo kukosa ni rahisi sana.... Jitahd hata private tu uhakika 100% hapo
 
Kwa CO omba CoTC_lindi, CoTC_Mafinga& CoTC_Musoma kwa lab Omba Singida school of Medical laboratory na AMO_ Tanga pia omba, Nursing tafuta chochote Cha GVT chenye Hospital, Pia kuna Radiology_ Bugando& MUHAS!!! Waweza tafuta hata Optometry na Dental pia japo sivijui Sana Vyuo vyake!!!
Thanks mkuu
 
Okay, kwa bahati ya kujaribu fanya hivi, Kwanza usiombe katika vyuo hivi
Lugalo
Kilosa
Kibaha
KCMC
sure as hell hakuna hata kimoja utapata hapo kwa sababu ya ushindani.
Angalia nacte guideline book, tafuta vyuo vinavyokuwa na uwezo wa kuchukua capacity kubwa ya wanafunzi, mfano Mtwara cotc (160) target vyuo kama hivo, pia angalia mahali ambako watu wengi hawangependa kwenda kuishi, nazungumzia, maeneo ambayo hayako central ya mji.
Pia usilazimishe CO sehemu zote, weka hata Medical laboratory sehemu nyingine. Nakuombe ufanikiwe.
U a right mkuu
 
Niwe mkweli ndugu yangu, vyuo vya serikali ni ngumu kupata coz capacity ni ndogo pili kuna wale form 4 waliochagulowa moja moja tatu kuna form 6 waliozingua, unakuta anatumia cheti cha form 4 alinyoosha div 1 ana ABB....hapo kukosa ni rahisi sana.... Jitahd hata private tu uhakika 100% hapo
N changamoto xna
 
Aisee kwa saivi ushindani ni mkubwa sana hasa kwenye vyuo vya serikali, yani kwa course yeyote ile, mambo ni mengi sana, cha kufanya jaribu kuchanganya course mbalimbali aisee, mfano, , juzi kati hapo nilimsaidia dogo kuaply CO, KCMC AMO training school capacity tu ni watu 70, walioomba ni 2000 kasoro, alafu wengi wana vigezo, ikabidi nimchanganyie zingine
Physiotherapy
Optometry (huku nako ni hatari capacity 30 ila walioomba balaa)
Nikajarib na radiology

Kwa hiyo jaribu vingi sana maana CO kwa vyuo vya serikali ni hatari, au jaribu kwa private
 
Private sio kujaribu...ani ata akienda siku mbili kabla ya kufungwa kwa udahili anapata... Kule hawanaga mbwembwe.... Tena skuizi unaenda chuoni moja kwa moja...
 
Aisee kwa saivi ushindani ni mkubwa sana hasa kwenye vyuo vya serikali, yani kwa course yeyote ile, mambo ni mengi sana, cha kufanya jaribu kuchanganya course mbalimbali aisee, mfano, , juzi kati hapo nilimsaidia dogo kuaply CO, KCMC AMO training school capacity tu ni watu 70, walioomba ni 2000 kasoro, alafu wengi wana vigezo, ikabidi nimchanganyie zingine
Physiotherapy
Optometry (huku nako ni hatari capacity 30 ila walioomba balaa)
Nikajarib na radiology

Kwa hiyo jaribu vingi sana maana CO kwa vyuo vya serikali ni hatari, au jaribu kwa private
Hyo ndo changamoto na umasikin,,,, wote tuna vyuo vya gorv n msaada
 
Back
Top Bottom