Dah maskini kapoteza helaHawezi kuomba mwaka uu mpaka awe na cheti na Avn number kutoka nacte.
Wewe utakua umeomba transcript koz AVN haikuhitaji hata payments, ndio nimefanya onlineKwanza umeongopa... Na pengine haujajaribu ila umesimuliwa.
AVN inapatikana online hata bila ku upload cheti chochote na gharama yake cjui 10 au 20.
Hii nina uhakika... Jana tu nilimuombea mtu avn. Kupitia website ya nacte.
Kuhusu attachmnt hapo sijui
Mshkaji ndo kamaliza this yearSio lazima uwe na cheti..... Ukiwa na Transcript tu kila kitu kitaenda sawa
avn unalipia elfu kumi na mimi nifanya ivyo nikapata ila kwa mra ya kwanza unajaza data zako then baadae watakutumia sms ya kulipia ukilipa ndo utapata AVNWewe utakua umeomba transcript koz AVN haikuhitaji hata payments, ndio nimefanya online
Hataki... Mi nimemuambia kanikosoa..avn unalipia elfu kumi na mimi nifanya ivyo nikapata ila kwa mra ya kwanza unajaza data zako then baadae watakutumia sms ya kulipia ukilipa ndo utapata AVN
Hataki... Mi nimemuambia kanikosoa..
Nikakausha maana huwa kuna watu wanauliza huku wakiwa na majibu yao kichwani