Wadau wa elimu nina mdogo wangu ana diploma in Nursing and midwifery na anapenda kujiendeleza kimasomo anaomba ushauri ni kozi gani nzuri anaweza kwenda kusoma ukitoa Bachelor of science in Nursing [emoji120][emoji120]
Atumie tcu Admission guide ku identify program zinazo chukua wenye dip. ya nursing halafu achague vinginevyo asichepuke abaki njia kuu hadi akimaliza bsc nursing.